News
Barcelona imelazimishwa sare ya mabao 3-3 nyumbani na Inter Milan, matokeo yanayoifanya mechi ya marudiano baina yao kuwa ...
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, mtu huyo anashikiliwa na kuhojiwa ili hatua zichukuliwe. Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Rauli Mahabi kwa tuhuma za ...
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, matumizi huongezeka zaidi kwa wafanyakazi ambao kila siku wanatumia kati ya programu na tovuti ...
Inadaiwa Mrema alidharu mamlaka ya nidhamu kwa kuibeza barua husika na kuisambaza katika mitandao ya kijamii badala ya ...
Bashungwa amesema baadhi ya matamko ya kisiasa yamekuwa na viashiria vya kuvuruga amani, na kwamba ni jukumu la vyombo vya ...
Wadau wa lishe nchini wameitaka Serikali kuanzisha baraza la wataalamu wa lishe litakaloratibu masuala yote ya lishe sambamba ...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema Simba na Yanga ndizo klabu ...
Ikiwa imesalia miezi kadhaa kuelekea uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, madiwani jijini Mbeya wametahadharishwa kuepuka kuchafuana na ...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kuvutana na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, huku ...
Miongoni mwa madhara ni uharibifu wa miundombinu, ikiwamo barabara na madaraja, lakini inakuwa neema kwa baadhi ya waendesha ...
Mwaka 2025, Tanzania inakaribia tena kuingia kwenye uchaguzi mkuu wa kidemokrasia, wananchi watawachagua Rais, wabunge na ...
Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka 2025/26 huku Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Hamza Johari ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results