Nyota wa kandanda wa Marekani Damar Hamlin ndiye mchezaji wa hivi punde zaidi kupata matatizo ya moyo wakati akiwa uwanjani. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 alianguka chini baada ya kugongana na ...
Kusimama ghafla kwa moyo husababisha sehemu za moyo kufa. Mara tu seli zinapokufa, haziwezi kuhuishwa. Hata hivyo wanasayansi wamebaini njia ya kufufua seli hizi za moyo zilizokufa, na hivyo kuokoa ...
Marekani "inatiwa moyo na matokeo" ya duru ya nne ya mazungumzo na Iran kuhusu mpango wa nyuklia wa Tehran, afisa mkuu wa Marekani amesema siku ya Jumapili, akizungumza kwa sharti la kutotajwa jina.
Daktari Andrea Arcangeli, katika cheti cha kifo cha Papa Francis, ameeleza kuwa kiongozi huyo alikumbwa na changamoto hiyo ya kiafya na baadaye kupoteza fahamu, kabla ya kufariki dunia. Uongozi wa ...
Jopo la wataalamu linatarajiwa kujadili iwapo Wizara ya Afya, Kazi na Ustawi wa Jamii inapaswa kuidhinisha bidhaa mbili zinazotumia seli shina za iPS. Matibabu hayo ni ya ugonjwa wa moyo na ugonjwa wa ...