MSHAMBULIAJI wa Simba, Jonathan Sowah, amevunja ukimya na kuamua kuweka wazi kile kinachoendelea ndani ya klabu hiyo kumuhusu ...
Simba SC inakaribia kucheza moja ya mechi zake kubwa zaidi katika historia ya klabu hiyo, mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Renaissance Sportive de Berkane ya ...
Hatimaye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25 (TotalEnergies CAF Confederation Cup), yamefikia tamati baada ya fainali kati ya Simba Sports Club (Simba) kutoka Tanzania, na Renaissance ...
KUNA filamu moja ya usajili imeripotiwa kufanyika na timu kongwe za hapa nchini, Simba na Yanga inayomhusu winga wa TRA ...
Wakati mshambuliaji Ibrahim Ajib akiwa anaelekea Jangwani, klabu ya Simba inaonekana kutokuwa na shida juu ya hilo kwasababu tayari ipo njiani kumvalisha Emannuel Okwi Jezi nambari 25 msimu ujao. “Ni ...
Klabu mbili za soka za nchini Tanzania, Yanga na Simba zimeyaaga mashindano ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kupoteza michezo ya duru ya pili ya robo fainali. Timu ya Yanga ilikufa kibabe baada ...
Maandalizi kwa wawakilishi wa Tanzania Simba na Yanga yameendelea kushika kasi Kuelekea michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mnyama Simba atawakaribisha Al Ahly ijumaa ya Machi 29 huku ...
Mashabiki wa Simba watakwenda uwanjani Jumamosi wakiwa na matumaini makubwa ya ushindi na hiyo imetokana na timu yao kushinda mechi sita mfululizo ... Jumamosi ya Febuary 20, uwanja wa taifa Dar es ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...